The House of Favourite Newspapers

KAULI YA CHID BENZ KWA RC MAKONDA

KUNA msemo wa Kingereza usemao; “Don’t judge a book by it’s cover”. Zipo tafsiri zisizo za moja kwa moja za Kiswahili kwamba; “Usihukumu kitabu kwa kuangalia mwonekano wake wa nje”. Na tafsiri zaidi ni kwamba usimchukulie…

Chid Benz Adakwa na ‘Unga’

NGULI WA wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro 'Chid Benz anashikiliwa tena  na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili.…

CHID BENZ: ISHU YA MADAWA NI KIKI?

MWANZONI mwa mwezi Julai, mwanamuziki mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya Muziki wa Hip Hop, Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ alifanya ‘media tour’ kuutambulisha wimbo wake mpya uitwao Muda akiwa na Abubakar Katwila ‘Q Chillah’,…

Chid Benz Apelekwa Kuishi Zenji

STORI: ALLY KATALAMBULA | GAZETI LA AMANI | DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kusemekana amepona kutoka kwenye utumiaji uliopitiliza wa madawa ya kulevya ‘unga’ hadi kuwa teja, mkongwe wa Bongo Fleva, Rashidi…