Bilionea wa Afrika Kusini Ampita Mfanyabiashara Aliko Dangote na kuwa Tajiri
Kwa mujibu wa ripoti za Bloomberg, Bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert amempita Mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote na kuwa tajiri anayeongoza barani Afrika.
Rupert ni Mmiliki wa Kampuni ya Richemont, moja ya Kampuni kubwa…