The House of Favourite Newspapers

MC Balaa Atikisa Shangwe za Eid, Dar Live

MKALI wa Singeli, Mc Balaa ambaye anatamba na ngoma ya Nakuja usiku wa kuamkia leo alifanya bonge la balaa ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar ambapo kulikuwa na shamrashamra za Eid El Fitri.…

Dar Live Wanafunga Mwaka Kibabe

KWA miaka zaidi ya saba sasa Ukumbi wa Dar Live umekuwa ukifanya makubwa kwenye sikukuu za kufungia mwaka na awamu hii pia hawataiacha Bongo Dar es Salaam salama, hiyo ni kwa kuwa wanatarajia kudondosha shoo ya nguvu katika kuuaga mwaka…

Jiji Concert Kutikisa Dar Live

UNAAMBIWA historia itaandikwa na jiji litasimama kwa saa 24, pale ambapo jukwa la kimataifa la kupanda na kushuka lilipo Kiwanja cha Taifa cha Burudani, Dar Live jijini Dar litakapobeba kijiji cha wasanii kupitia Tamasha la Jiji Concert…

MOBETO NDANI YA DAR LIVE

NAJUA ulikuwa ukijiuliza sana eti mbona shoo za mwanamitindo na msanii mpya wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto huzioni! Jibu hili hapa; Kwa mara ya kwanza Uwanja wa Taifa wa Burudani Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar unatarajia…