The House of Favourite Newspapers
Tags:

Ebitoke aapa kumzalia Mlela

YA Mungu mengi! Ukimsikia komediani Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ utacheka, maana mwenyewe ameapa kumzalia mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa kiume wa Bongo Movies, Yusuf Mlela. Ebitoke ameliambia Gazeti la Ijumaa Wikienda kuwa,…

Ebitoke na Skendo ya Kujichubua

BAADA ya habari kuzagaa kwamba kwa sasa anatumia mkorogo (anajichubua) ndiyo maana amekuwa mweupe ghafla, mchekeshaji maarufu Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ ameibuka na kukanusha vikali skendo hiyo. Akichonga na Risasi…

Ebitoke: Wanja Umenipa Maisha

MSANII wa vichekesho, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema kuwa wanja mwingi ‘anaojisiriba’ machoni ndio umempa maisha na kutimiza ndoto zake za muda mrefu. Akizungumza na gazeti hili, Ebitoke alisema kuwa habari ya kufanya ‘make up’…

 Ebitoke: Ben Pol Amenipotezea

MCHEKESHAJI, Anna Exavery ‘Ebitoke’ amefunguka kuwa hajawahi kuachana na msanii, Ben Pol isipokuwa aliona jamaa kama amempotezea hivyo akaamua kujiweka kando. Akizungumza na Full Shangwe, Ebitoke alisema hajawahi kuachana na…