Wasanii Waliotwaa Tuzo Za Filamu 2023, Wafundishwa Jinsi Ya Kulinda ‘Brand’ Zao, JB,…
Dar es Salaam, 30 Desemba 2023: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo Kitengo cha Bodi ya Filamu, imeendesha mafunzo kwa wasanii waliotwaa…