FAIZA ALLY: ALIPAMBANA USIKU NA MCHANA KUSAKA MAISHA BORA
FAIZA Ally ni mmoja wa waigizaji wa sinema za Kibongo ambao kwa hivi sasa wameweza kujipatia umaarufu mkubwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na hata kwenye jamii.
Wengi walikuwa wakimfahamu…