The House of Favourite Newspapers

Wabogojo: Unga Unaangamiza Vijana

Na GRABRIEL NG`OSHA|RISASA JUMAMOSI| MIKITO NUSUNUSU MCHEKESHAJI wa kutumia viungo vyake, Athumani Ford ‘Wabogojo’ amefunguka kuwa sakata la kamatakamata kuhusu dawa za kulevya ni la msingi sana kwa Wabogojo: Unga unaangamiza vijana…

Chin Bees Staa Aliyefichwa na Mastaa

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MUZIKI ili ukamilike unahitaji mtunzi, mtayarishaji, muimbaji na wengineo. Watayarishaji na watunzi wengi wa Kibongo hawapewi nafasi kwenye baadhi ya nyimbo ambazo wamehusika licha ya…

Man Fongo Amuita Bozi Kwenye Singeli

Na GABRIEL NG`OSHA| GAZETI LA AMANI| SHOWBIZ XTRA MAKUBWA! Kufuatia ugumu wa maisha kwenye tasnia ya sanaa nchini, msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu Bozi,    ’ ameibukia kwenye Muziki wa Singeli na yupo mbioni kuibuka na wimbo…

Kifo cha Denti Chuo Kikuu

GABRIEL NG`OSHA| IJUMAA WIKIENDA| CHOMBEZO/ HABARI DAR ES SALAAM: Kifo cha mwanachuo wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Mkwawa kilichopo mkoani Iringa, Matrona Kileo (23), mkazi wa Sanya-Juu, Moshi mkoani Kilimanjaro, kimezua…