The House of Favourite Newspapers

Gigy Money Aomba Radhi Tena

Msanii wa Bongo fleva na mfanyabiashara nchini, Gift Stanford, maarufu kama ‘Gigy Money’ ameendelea kuomba msamaha kwa kupunguziwa adhabu ya kifungo chake cha miezi 6 kufanya kazi za Sanaa baada ya kutolewa agizo la kufunguliwa kwa TV…

Gigy Money Afungiwa na BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemfungia miezi 6, Msanii Gigy Money kujihusisha na sanaa ndani na nje ya Tanzania na kulipa faini ya Tsh milioni 1, mara baada ya kupanda jukwaani mnamo Januari 1, 2021 jijini Dodoma akiwa amevaa…

Gigy Money Kurudi Shule

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema kwamba, ameamua kurudi shule ili atimize malengo yake ambayo hakuweza kuyatimiza nyuma. Akipiga stori mbili tatu na Risasi Vibes, mrembo huyo mwenye mvuto wa aina…

Gigy Money: 2020 kazi tu

MWANADADA machachari wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amesema mwaka huu amejipanga kuongeza juhudi katika kazi zake za muziki ili kujiongezea kipato hasa baada ya kuona matunda yake kwa mwaka 2019.…

Gigy Money Alaaniwa na Mama’ke

MAMA wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’, Fatuma Katunda ‘Kissa’ amemlaani mwanaye huyo na kufikia hatua ya kusema asimzike kutokana na alichomfanyia. Akizungumza na Risasi Mchanganyiko kwa…