The House of Favourite Newspapers

Mboni Kuanika Ndoa Yake

BAADA ya kukaa kimya kwa muda huku yakisemwa mengi kuhusu ndoa yake, mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba ameibuka na kusema ataanika kila kitu hivi karibuni. Mboni Masimba inasemekana alifunga ndoa Septemba 6,…

Shishi ampa Kiba somo la ndoa

WAKATI msanii Ally Saleh Kiba ‘AliKiba’ ndoa yake ikiwa inapumulia mashine kutokana na migogoro, mrembo kutoka Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shishi’ amempa somo la ndoa msanii huyo kwa kumwambia ndoa inaongozwa na upendo.  Shishi…

DAKTARI NUSURA AUE MTOTO!

MTU akiitwa daktari maana yake ni: “Mtaalamu aliyepata shahada ya juu kabisa; mganga aliyehitimu katika elimu ya tiba ya dawa za kisasa, (Tabibu).”  Ukisikia daktari nusura auwe mtoto lazima utajiuliza; kulikoni tabibu…

HIZI NDO NGOMA 5 ZINAZOMKUNA LULU

KILA mcheza filamu huwa ana ngoma zake kutoka kwa wanamuziki mbalimbali ambazo anazipenda na kila akikaa anapenda kuzisikiliza, wengine maudhui ndio yanawavutia, wengine huvutiwa na midundo kwa maana ya kucheza, lakini wapo wanaopenda…

SHAMSA FORD ‘ASTAAFU’

MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford amedai kuwa mwaka huu ni mwaka wake wa kustaafu kuvaa nguo za vimini kwani amedhamiria kuwa mwanamke mwenye stara na atahakikisha anawabadili na wanawake wenzake wengine kwa kuwauzia nguo za kiheshima.…

Kuokoka Kwa Amber Rutty Gumzo

Video Queen Mus­cat Abubakary ‘Amber Rutty’ na mpenzi wake Said Bakary Mtopali wamedaiwa kuokoka kitendo kilichozua gumzo kwa watu kutokana na awali baba wa Amber Rutty kumjia juu mchungaji Dau­di Mashimo na kudai kuwa mtoto wake huyo…

WASTARA NATAMANI KUJIUAAN!

BINADAMU anaweza kuandamwa na matatizo kibao kiasi cha kufikia hatua ya kukufuru lakini hatutakiwi kuwa hivyo bali tunapopata mitihani tushukuru na kumuomba Mungu azidi kutulinda na shari! Hivyo ndivyo anavyoweza…

BIFU LA MAMA MONDI, ZARI SIRI YAFICHUKA!

SIRI ya bifu la mama wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’, Sanura Kassim ‘Sandra’ na ‘mkwewe’ Zarinah Hassan ‘Zari’ imefichuka baada ya mtu wa karibu na familia hiyo kuanika kuwa wawili hao waliingia kwenye mgogoro baada ya…

ANAEDAI MTOTO WA ZARI ABANWA

DAR ES SALAAM: Msichana ambaye kwenye Mtandao wa Instagram anatumia jina la Martha.aint-na kudai ni mtoto wa Zarinah Hassan ‘Zari’ amekuwa gumzo kufuatia kitendo cha yeye kuposti picha zake nyingi akifanana ‘kopi raiti’ na Zari, Risasi…

Diva Asitisha Michango ya Ujauzito

MTANGAZAJI wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ baada ya kuomba mchango wa shilingi milioni 15 kwa ajili ya kwenda kusaka mtoto nje ya nchi, amesitisha zoezi hilo na kudai kuwa sasa yupo tayari na wakati ukifika atakwenda kwani ameamua…

SASHA AMCHONGEA KIBA KWA MKEWE

DAR ES SALAAM: Muuza sura (video queen) wa video za wasanii wa Bongo Fleva mwenye umbo matata, Sasha Kassim anadaiwa kumchongea staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ kwa mkewe, Aminah Khalef kwa kuanika meseji zao za faragha.…

AUNT LULU: DIAMOND OA SASA

MTANGAZAJI Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ ameibuka baada ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na kumsihi aoe sasa kwani ameshakua na kuoa kutamletea heshima zaidi. Akizungumza na…