The House of Favourite Newspapers

Barca; Jahazi Ndiyo Linazama

NI kama unasoma ukurasa wa mwisho wa hadithi tamu ambayo kamwe haukutaka imalizike. Hali hiyo ndiyo inayowakumba Klabu ya Barcelona ya Hispania baada ya utawala wa muda mrefu barani Ulaya sasa wanaonekana wamegota ukingoni. …

Harmonize Akoa Jahazi La Ndanda FC

BAADA ya kushindwa kurudi Mtwara kutokana na ukata ulioikumba timu ya Ndanda na kusababisha kubaki mkoani Singida, uongozi wa Ndanda FC uliamua kumuomba msanii Harmonize aweze kuwasaidia fedha ili warejee Mtwara kwa ajili ya maandalizi…

Yah TMK Waipiga Mkwara Jahazi

Kundi la Muziki wa Taarab Yah TMK KUNDI la Muziki wa Taarab linakuja kasi katika anga la burudani, Yah TMK wamechimba mkwara wa maana kwa wapinzani wao Jahazi Modern kuelekea mchuano mkali wa Nani Mkali Wako utakaofanyika Aprili…

Jahazi Kulisimamisha Jiji

NA MWANDISHI WETU | SHOW BIZ Bendi ya Jahazi Modern Taarab ikiongozwa na mastaa wake, Leila Rashid, Amigo, Mwasiti Kitolonto, Ally J, Fatuma Kassim na wengine kibao imepania kulisimamisha Jiji la Dar katika onesho kabambe…

Jahazi kurudi kwa kishindo Dar Live

KUNDI la Muziki wa Taarab lisilo na mpinzani Bongo, Jahazi Modern Taarab likiongozwa na Mfalme Mzee Yusuf, Agosti 20, mwaka huu linatarajiwa kurudi kwa kishindo ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini…

Jahazi yapagawisha Dar Live

Mzee Yusuf akiimba huku akinengua ndani ya Dar Live.    Hadija Yusuf naye akiimba.   Twaha  Malove nae akiwapagawisha mashabiki.    Fatma Mcharuko akiimba na kuserebuka.    Mzee Yusuf akicheza na wanenguaji wake.    Amigo (mwenye shati…

Leo Ndiyo Leo Jahazi Dar Live

Mzee Yusuf Na Mwandishi Wetu HATIMAYE! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na wapenzi wa burudani imewadia ambapo kundi lisilo na mpinzani kunako Muziki wa Taarab, Jahazi Modern linatarajiwa kuitambulisha rasmi albamu yao ya Kaning’ang’ania…