The House of Favourite Newspapers

K-Lynn Aibuka, Amvaa Wema!

MISS Tanzania wa mwaka 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ au ‘Jack Mengi’ ameibuka na kumvaa mnyange mwenzake aliyetwaa taji hilo mwaka 2006, Wema Isaac Sepetu. K-Lynn amefi kia hatua hiyo, baada ya Wema kushindwa kufi…

MA-MISS T Z WALIOTOBOA

SHINDANO la urembo nchini Tanzania (Miss Tanzania) lilipata kuwa moja ya mashindano makubwa hapa nchini. Shindano hili lilivuta hisia za wengi. Lilikuwa na msisimko wa aina yake na hata warembo wake waliokuwa wakishiriki,…

Mastaa Walioitwa Mama 2017

MWAKA 2017 ndiyo huo unayoyoma na zimebaki siku kumi tu kuingia mwaka 2018. Mwaka 2007, mengi yametokea kwa kila mtu katika maisha yake ya kawaida. Wapo waliofanikiwa, waliofeli na wapendwa wetu wengine walitutoka kabisa.…

Diva, Ukubwa Haupigi Hodi

MOJA kati ya vitu ambavyo binadamu ameshindwa kuvizuia, ni kukua kwake, kiakili na kimwili. Ukiondoa matatizo ya kiafya yanayoweza kufanya vinginevyo katika mwili wa binadamu, ilivyo ni kwamba kadiri anavyoongezeka umri, akili yake…

Kidoti awa balozi wa Endometriosis

Jokate Mwegelo ‘Kidoti Nicodemus Jonas, Dar es Salaam MUINGIZAJI na mwanamitindo nchini, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameamua kuwa mstari wa mbele katika kampeni ya kupambana na vita ya ugonjwa hatari wa Endometriosis. Kidoti amekubali…