The House of Favourite Newspapers

UTAPELIMKUBWA 40 YA MZEE MAJUTO

AMA KWELI kufa kufaana! Hayo ndiyo maneno unayoweza kusema endapo yatakufikia madai ya utapeli mzito unaofanywa na baadhi ya watu wakiwemo wasanii wa kuchangisha pesa kinyume na taratibu wakidai eti ni kwa ajili ya kufanikisha 40 ya…

Majuto Adaiwa Kumtokea Mkewe

DAR ES SALAAM: Baada ya maneno mengi huku ndugu wa aliyekuwa mumewe, Amri Athuman ‘King Majuto’ wakidaiwa kumnyima huduma muhimu kama chakula, mjane wa mzee huyo aliyekuwa kinara wa vichekesho Bongo, Aisha Yusuf anadaiwa kutokewa na mzee…