Mayasa Mariwata
LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini…
WASANII wa kike wa Bongo Muvi wanaounda kundi la Binti Filamu Foundation sasa wameamua kuja na kongamano la dawa za kulevya litakalofanyika Makumbusho ya Taifa Posta jijini Dar, Julai 1 mwaka huu.
…
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika kuendelea kufanya mageuzi ya kiuongozi na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya wakati, mwenendo wa mabadiliko ya siasa za dunia na madhumuni ya Chama chetu katika kuwatumikia wananchi kikamilifu.
…
Bi Aisha Ali mkazi wa jinini Dar es Salam amejikuta akiangua kilio na kumwaga machozi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi muda mfupi baada ya mwanae kukosa dhamana na hivyo kulazimika kurudishwa katika mahabusu ya watoto.…
DAR Mwigizaji Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunga ndoa, lakini kwa upande mwingine, ndoa hiyo imemzulia balaa mwigizaji mwenzake wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ baada ya kupewa maneno makali.
Ishu ilikuwa hivi,…
NIANZE makala haya kwa kumshukuru Mungu kwa hili. Tumeagizwa tushukuru kwa kila jambo. Ndugu na rafiki yangu, Seth Bosco, umekwenda! Nakumbuka jinsi tulivyosherehekea zawadi ya uhai hapa duniani, ulipenda kufurahi zaidi kuliko kukasirika.…
MAYAMUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa, watu wenye kiu ya kutaka kumjua mume wake mtarajiwa watulie watamuona tu na itakuwa sapraiz kwao.
Akizungumza na Amani, Maya ambaye tayari vikao vya…
WATU wajipange kukuandalia pati ya kukupongeza kwa kukaa mwezi mmoja bila kunywa pombe; maana yake nini, kama wewe si ‘chapombe’?
Risasi Jumamosi linatafakari hivyo baada ya baadhi ya mastaa wa filamu Bongo kuibuka na kumpongeza msanii…
MSANII wa kitambo kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amesema kuwa hata kama wenzake watamcheka kwa sababu mpaka sasa hajapata mtoto, hatokurupuka kumsaka kwa sababu ya matakwa ya watu. Akizungumza na Ijumaa…
Usikubali kuingia mwaka mpya ukiwa kwenye uhusiano wa kupotezeana muda. Ni vema kufanya maamuzi magumu lakini sahihi kwa mustakabali wa maisha yako. Usikubali kutumika.
Yaangalie maisha katika jicho pana, ukiweka…
KWA sasa mastaa wengi wa Bongo Muvi, wamejaaliwa kupata watoto na kila mmoja anajivunia mtoto wake lakini kuna wengine bado hawajabahatika kupata watoto mpaka leo licha ya kuwa umri wao unawaruhusu.
Kila mmoja ana sababu…
WAKATI akitimiza miaka 20 kwenye sanaa, mwigizaji ambaye ni tunda la Kundi la Kaole Sanaa, Mayasa Mrisho ‘Maya’ ameweka wazi kuwa, anajivunia miaka hiyo bila kukwaa skendo ambayo ingeweza kumshushia heshima kwenye kazi hiyo.
…
TAMTHILIA pendwa ya Global Kazini inazidi kupamba moto ambapo katika sehemu hii, Mayasa, mke mtarajiwa wa Nyemo, anatekwa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha, siku chache kabla ya harusi, kisha baada ya hapo, anaenda…
KUWA mtu maarufu ni jambo moja, ‘ku-maintain’ huo umaarufu huwa ni jambo lingine tofauti.
Unaweza kuwa maarufu kwa maana ya kujulikana na watu lakini ndani ya muda mfupi, ukarudi katika kiwango cha katikati hata kupotea kabisa. Mara…
ILIPOISHIA WIKIENDA
Shangazi aliporudi tena chumbani na kuniona nilivyokuwa akaniambia:
“Nimeshampigia mama yako, amesema atafika muda si mrefu lakini kutokana na hali yako ilivyo, hatutamsubiri. Naita teksi twende hospitali.”…
MSIMU mwingine wa Global Kazini umewadia na safari hii tukio kubwa linatetemesha jiji la Dar es Salaam. Ni tukio la bibi harusi mtarajiwa, Mayasa Mariwata, kutekwa na watu wasiojulikana, ikiwa ni siku chache kabla ya kufungwa kwa ndoa…
STAA wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefu-ngikia maneno yake aliyoy-aweka mtandaoni na kuzua tafrani kuwa amemmchamba mwigizaji mkongwe, Jacob Steven ‘JB’ kuwa watu wamemuelewa vibaya.
Juzikati, Maya aliweka…
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, siku mwigizaji mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’ akiolewa tena, ataandamana. Akichonga na Za Motomoto News, Maya alisema kuwa, Davina ambaye ni…
DAR ES SALAAM: unaweza kusema huu ni zaidi ya msiba kufuatia ile habari ya watu sita wa familia moja wakazi wa Buguruni kwa Mnyamani jijini Dar, kufariki dunia kwa mpigo katika ajali iliyohusisha gari aina lori na basi dogo aina ya Hiace…
MUUZA nyago mwenye umbo matata Bongo, Sasha Kassim amewaonya wasanii ambao wamekuwa wakitelekeza familia zao sababu ya umaarufu walionao na kuwaona wazazi wao hawana thamani.
Akipiga stori na paparazi wetu akiwa kwao Mwanza,…
BAADA ya madai kuenea kuwa staa wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amepotea kimuziki, ameibuka na kutoa povu si la nchi hii.
Awali, tetesi zilienea kuwa, staa huyo aliyewahi kubamba na Ngoma ya Basi Nenda kisha Skendo, kwa sasa…
Snura Mushi
MSANII wa muziki Bongo, Snura Mushi anadaiwa kubadilishwa kimavazi na mwandani wake wa sasa aitwaye Minu.
Mtoa ubuyu mmoja amenyetisha kuwa, Minu amemtaka Snura ajistiri kutokana na umbo lake kuwa na ushawishi…
MSANII wa filamu Bongo, Esha Buheti ameibuka na kuwataka wanaoujadili ubonge nyanya wake kuacha akijitetea kuwa, hiyo imetokana na kwamba ametoka kuzaa na yupo bize kunyonyesha.
Akibonga machache na Showbiz Xtra, Esha alisema…
SIKU chache baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kufungiwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kutofanya sanaa miezi sita kutokana na wimbo wake wa Kibamia kukosa maadili, msanii…
MSANII wa fi lamu Bongo, Irene Uwoya ameingia matatizoni baada ya meneja wake wa bar iliyopo Sinza, Mariam Ismail ‘Mamakubwa’ kuwekwa mahabusu polisi kwa sababu ya kukiuka sheria ya vileo kwa kuuza vinywaji nje ya muda…
MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amejikuta akitafunwa na skendo ya uchawi kutoka kwa watu wake wa karibu ambao alikuwa anaishi nao, New Delhi nchini India, kutokana na mambo yake kumuendea poa huku wenzake yakibuma.…
MSANII anayetamba na Wimbo wa Bajaj, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amejikuta kwenye msongo wa mawazo baada ya mwanamke aliyekuwa mbioni kumuoa aitwaye Iptisam kuolewa na mtu mwingine, kutokana na mvutano wa dini baina yao.
Kwa…
DAR ES SALAAM: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanaume mmoja, mkazi wa Kigogo jijini Dar, Ally Herry, anahaha kumtafuta mkewe, Halima Kassim anayedaiwa kutoweka na mtu asiyejulikana hivyo kulazimika kuomba msaada serikalini.…
MWANADADA machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye anatarajia kujifungua mwezi ujao, amejikuta akishindwa kufanya shughuli ya maandalizi ya mapokezi ya mwanaye wa kike atakayemzaa ‘baby shower’ kutokana na mambo ya…
MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameamua kugeukia muziki wa singeli na kuahidi kuliteka soko hilo, kwa kuwa anaamini muziki huo bado haujapata mwanamke anayeumudu.
Akipiga stori na Risasi Vibes, Pam D alisema yupo…
BAADA ya kunangwa na mashabiki zake mitandaoni kwamba rangi ya kijani aliyoweka kwenye nywele zake haijampendeza, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ amefunguka kuwa hiyo ni staili mpya aliyoichagua.
Akizungumza…
Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) aliyepigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni-Kinondoni jijini Dar na kufariki dunia, kabla ya tukio hilo alitoa ujumbe wa kusikitisha kwa familia yake kabla ya…
MREMBO wa Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ ambaye aliingia kwenye bifu zito na mama yake baada ya kubadili dini na kuwa Mkristo na kumsamehe kipindi alipokuwa mahututi akijifungua, amemtibua tena mzazi wake huyo kutokana na…
MSANII wa filamu Bongo, Nicole Francklyn amewataka wasanii wenzake kuungana na kuendesha kampeni ya kumchangia msanii mwenzao, Wastara Juma kutokana na maradhi ya mguu yanayomsibu, kwa kuwa hakuna aijuaye kesho.
Akizungumza na…
MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans ameibuka na kusema kuwa tetesi zilizozagaa akidaiwa kuachana na mzazi mwenziye Vincent Kigosi ‘Ray’ na kwamba ndiyo sababu ya kubadili jina lake kwenye ukurasa wake wa Instagram siyo za kweli.…
MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kindy’ ambaye siku chache zilizopita alipewa kibano cha kufungiwa asifanye sanaa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, amesema kuwa jambo hilo…
Ili kufuatilia simulizi hii ya kuhuzunisha na kusikitisha kuanzia sehemu ya kwanza hadi ya mwisho, install application ya #GlobalPublishers sasa, kwa Android kupitia #GooglePlay Bofya LINK hii ===> bit.ly/2AAQe1dau kwa iOS kupitia…
MSANII wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ ambaye alikuwa kwenye mapenzi motomoto na msanii wa singeli Dulla Makabila, uhusiano wao unadaiwa kuvunjika kutokana na kutofautiana kwenye baadhi ya mambo.
Kwa mujibu wa chanzo…