×
Vodacom banner


Facebook


Vanessa: Naishi Maisha Yangu

MWANADADA anayejua kutupia pamba vilivyo ndani ya muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa anaishi maisha yake na siyo maisha wanayotaka watu…

SOMA ZAIDI


Coy Mzungu Amshukuru Mondi

MSANII wa maigizo ya vichekesho na kiongozi wa Kundi la Cheka Tu, Comrad Kennedy ‘Coy Mzungu’ amesema kuwa amefurahisha na kitendo cha msanii wa muziki…

SOMA ZAIDI


Hemedy PhD: Sijichubui, Napaka Poda

MWIGIZAJI wa filamu na msanii wa Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘Hemedy PhD’ amewafunga midomo baadhi ya watu wanaomsema kwamba anapaka mkorogo kwa kuwaambia yeye ni…

SOMA ZAIDI


Ebitoke Hataki Mimba Kabla ya Ndoa

MSANII wa vichekesho Bongo, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ kwa mara ya kwanza amesema kuwa hajawahi kubeba ujauzito katika maisha yake ila anashangaa kwa nini watu waliamua…

SOMA ZAIDI

Wema: Hata Niikishi Charambe Haiwahusu

STAA filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu amefunguka kuwa watu wanamzonga kwa maneno kwa sababu anakaa Mtoni Kijichi wamuache maana hata akiishi Charambe haiwahusu.   Akizungumza…

SOMA ZAIDI


Dully Sykes Afunga Mjadala wa Ndoa

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dullysykes’ amefunguka sababu ya kuwa bachela na kuufunga mjadala kuhusu suala la yeye kuoa. Akizungumza na…

SOMA ZAIDI

Rosa Ree Hataki Mazoea Na Wanawake!

RAPA Rasary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kitu ambacho kitamfanya agombane na mpenzi wake ni kuwa na mazoea na wanawake.   Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU,…

SOMA ZAIDI

Gabo: Wanafiki Wanasaidia

  MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza. Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Gabo amesema…

SOMA ZAIDILinah Atamba Kuoana na Awadhi!

MREMBO anayefanya vizuri kwa sasa kunako gemu la Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema kuwa wambea wanaofuatilia mapenzi yake na mpenzi wake wa sasa Awadhi…

SOMA ZAIDI

Nandy Bize Hadi Pumzi Inakata

Sexy lady anayekimbiza kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’, amefunguka kuwa yupo bize sana na kazi yake ya muziki kiasi ambacho muda mwingine…

SOMA ZAIDI

Lulu Ajivunia Kulea

STAA wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amesema anamshukuru Mungu kwa kumsaidia kumlea vizuri mdogo wake Erick mpaka sasa amefanikiwa kuhitimu elimu yake ya…

SOMA ZAIDI


Monalisa Humwambii Kitu Kwa Ben Pol

MSANII wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ amesema kuwa msanii wa muziki anayemkubali zaidi ni Bernard Paul ‘Ben Pol’ kutokana na nidhamu aliyonayo. Akipiga stori…

SOMA ZAIDI

Dayna, Patoranking Uso kwa Uso Nigeria

MREMBO anayefanya poa kunako gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna Nyange’, hivi karibuni ameibua gumzo baada ya kuonekana katika picha ya pamoja…

SOMA ZAIDI

Country Wizzy Akiri Kumuiga Lil Wayne

GUMZO lililozungu mzwa siku chache zilizopita, lilikuwa ni usajili wa Ibrahim Mandingo ’Country Wizzy’ ambaye ametua pale kwenye lebo ya staa wa Bongo Fleva, Rajabu…

SOMA ZAIDI


Young Killer Aanza Kusaka Mke!

MSANII wa muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’ amesema kwa sasa anatamani kuwa na familia. Akizungumza na Mikito Nusunusu, Young Killer amesema…

SOMA ZAIDI
Jux: Huddah Ana Vigezo Ninavyohitaj

BAADAya maneno kuwa mengi mtandaoni kuwa staa wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ ana uhusiano wa kimapenzi na mrembo wa Kenya, Huddah Manroe ‘Huddah’ hatimaye…

SOMA ZAIDI

Zamaradi Kuwakutanisha Mastaa Sabasaba

MTANGAZAJI maarufu ambaye anamiliki Zamaradi TV, Zamaradi Mketema anatarajia kuwakutanisha mastaa mbalimbali Bongo ambao ni wafanyabiashara ndani ya maonyesho ya Sabasaba kuanzia Julai Mosi, mwaka…

SOMA ZAIDI

Kopa: Sina Stress ya Mwanaume!

MWANAMUZIKI mkongwe wa Taarabu, Khadija Omary Kopa amefunguka japo amepitia mtihani mkubwa wa kufiwa na mumewe, lakini mpaka sasa hana stress za mwanaume yeyote yule…

SOMA ZAIDIMaua Sama Ammwagia Sifa Zuchu

BAADA ya Zuchu kusajiliwa kwenye lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama ameibuka na kummwagia sifa msanii huyo.   Akizungumza…

SOMA ZAIDI

Official Nai Akanusha Kuolewa!

BAADA ya kudaiwa kuwa amefunga ndoa ya kimyakimya, video vixen Bongo, Official Nai ameibuka na kufafanua ukweli wa mambo.   Akizungumza na Mikito Nusunusu, Nai…

SOMA ZAIDI


Ray: Chuchu Ana Wivu Sana

STAA kunako Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa mzazi mwenziye Chuchu Hans ni mwanamke mwenye wivu sana.   Akizungumza na Mikito Nusunusu, Ray alisema…

SOMA ZAIDI

Billnass Awatamani Cassper, Drake!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, William Lymo ‘Billnass’ amesema anatamani kufanya kolabo na wasanii kama Cassper Nyovest na Drake.   Akizungumza na Mikito Nusunusu,…

SOMA ZAIDI

Copyright 2021 Global Publishers | All Rights Reserved