The House of Favourite Newspapers

Lori Lateketea Tunduma

Lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T 887 CWN lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma mkoani Songwe, limeteketea kwa moto pembezoni mwa mizani ya Mpemba nje kidogo ya Mji wa Tunduma. Gari hilo…

Vita ya namba Yanga Usipime!

KUMEKUCHA Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya nahodha msaidizi wa timu hiyo, Juma Abdul kudai kuwa vita ya namba msimu ujao itakuwa ni balaa kutokana na usajili wa nguvu uliofanywa na uongozi wa timu hiyo hivi karibuni.…

Simba SC KAZI imeanza sasa!

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, hali ya mambo ilivyo hivi sasa huko mitaani baada ya timu za Simba na Yanga kuwa mbioni kuhitimisha usajili wake.   Hata hivyo, hivi sasa habari mpya ni kwamba kutokana na usajili ambao tayari timu hizo…