Mbunge Abood Atoa Sh. Milioni 2 Kununua Vifaa vya Muziki Kanisa la Mt. Karoli Lwanga
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dokta Abdulaziz Abood ametoa milioni mbili kwa Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga, Kata ya Mindu, Manispaa ya Morogoro ambapo amesema serikali ipo pamoja na viongozi wa dini na kutambua mchango…