Rais Samia Azindua Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu Julius Nyerere-Video
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kufunguliwa kwa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani, kutasaidia kuwaandaa vijana kuwa viongozi wazuri baadaye na kubadilisha mawazo na mitazamo yao ili…