The House of Favourite Newspapers

Unajua kwa nini mimba inatunga nje ya kizazi?-3

Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii sehemu ya mwisho. Naamini  wapenzi wasomaji wa makala haya watakuwa wamejifunza na wataendelea kujifunza zaidi... Yai…

Unajua kwa nini mimba inatunga nje ya kizazi?-3

Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya…

Unajua kwa nini mimba inatunga nje ya kizazi?-2

Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Mara baada ya utungisho, misuli inayozunguka mirija ya Fallopian…

Unajua kwa nini mimba inatunga nje ya kizazi?

Baada ya kupeana elimu juu ya tatizo la mawe kwenye figo, leo ningependa tupeane ufahamu kuhusu mimba kutungwa nje ya mji wa mimba. Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika wanasumbuliwa na tatizo hili na imefika hatua wengine wanaogopa…

JUMAPILI HII MIKWANJA IPO MERIDIAN TU

Najua unajua lakini nakujuza tena  sehemu pekee ambayo unaweza kuchukua maokoto yako kirahisi ni Meridianbet ambapo wameweka ODDS KUBWA katika michezo ambayo itapigwa jumapili ili kukuwezesha kupiga mkwanja wa kutosha. Unachotakiwa…

Hadithi: Insane (Mwendawazimu -3)

Ilipoishia Sehemu ya 2 Moyo wake ulimuuma mno, muda mwingi alionekana kuwa na mawazo, hakuamini kama Mungu aliruhusu yeye kupitia katika maisha aliyotakiwa kupitia kipindi hicho. Hakuacha kuomba, hospitalini hapo, kila alipokuwa kwenye…

Hadithi: Insane (Mwendawazimu -2)

Ilipoishia sehemu ya 1 Kila mtu alibaki akimwangalia, alimuonea huruma kwani kwa jinsi alivyokuwa akilia, alionekana kuwa mtu mwenye maumivu makali moyoni mwake. Alikaa hapo kwenye benchi kwa saa nne ndipo madaktari wakamtoa mumewe katika…

Haya Ndiyo Niliyoyaona Baharini-7

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Tuliondoka na giza bado kuelekea Papua. Meli ilikuwa ikakata maji huku ikionekana kuwa nzito sana kiasi kwamba nilijaribu kumuuliza Nurdin kama hali ile ilitokana na mzigo mkubwa au nini, akasema si mzigo na…

Chongo!-23

Ilipoishia wiki iliyopita Wakati watatu hao wakimaliza mazungumzo yao kwa maazimio hayo, Bata alikuwa na kikao akiwa na mpenzi wake Elina, pamoja na shemeji yake Jully, sehemu moja katikati ya Kariakoo. Sasa endelea... Kikao hicho…