The House of Favourite Newspapers

UWOYA ANAVYOWAANGUSHA WAZAZI WAKE

MARA nyingi huwa tunaambiwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwa tafsiri nyingine isiyo rasmi ni kwamba, jinsi ulivyo ndivyo mtoto wako anavyoweza kuja kuwa. Yani kama wewe ni mcha Mungu basi kuna uwezekano wanao nao wakawa wacha…