The House of Favourite Newspapers

Nay wa Mitego Kimeumana Huko

TAYARI kimeumana huko! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya video ya Wimbo wa Acha Niongee wa Nay wa Mitego kufutwa kwenye Mtandao wa YouTube siku moja baada ya kuachiwa. Kwa mujibu wa maelezo ya Mtandao wa YouTube, video hiyo…

Nay wa Mitego, Imemuwakia

MWENYEWE anajiita Rais wa Kitaa pengine ndiyo maana wimbo wake mpya ameupa jina hilo. Lakini zaidi anafahamika kama Nay wa Mitego ambaye hivi karibuni aliachia wimbo huo ulijaa nondo za  kuikosoa serikali wengine kwa mambo ya tozo,…

BASATA KUTETA NA NAY WA MITEGO

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) linatarajia kuku-tana na staa wa Bongo Fleva, Emm-anuel Elibariki ‘Nay’ ili kuteta naye kuhusu mustakabali wa kazi zake. Oktoba 17, mwaka huu Basata ilimuita Nay na kumpatia barua yenye…

Nay wa Mitego Adaiwa Kufumaniwa

DAR ES SALAAM: MKALI wa Hip Hop Bongo anayesumbua na Wimbo wa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amedaiwa kukwaa skendo ya kufumaniwa na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Tina. Tukio lililokusanya ‘nzi’ wa kutosha,…