The House of Favourite Newspapers

Dully Atoboa Siri Kutozeeka!

HUYU jamaa hapendi kuitwa msanii, bali hupendelea kuitwa mburudishaji kwani asilimia kubwa ya ngoma zake ni za kucheza na siyo kusikiliza. Stejini hujulikana kwa jina la Prince Dully Sykes au Dully, lakini jina alilopewa na…

WOLPER AMKABIDHI HARMONIZE KWA MUNGU

KWELI hii inaitwa chuki nichukie, lakini moyo wangu niachie! Hivi ndivyo ilivyo sasa kati ya staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe kuamua kutoa la moyoni baada ya mpenzi wake wa zamani, Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ kumuanikia msururu…

Tanayzer: Sitamsahau Abdul Bonge

Na MUSA MATEJA| IJUMAA WIKIENDA| OVER ZE WEEKEND MSANII wa Bongo Fleva ambaye ni zao kutoka Kundi la Tip Top Connection, Said Othman ‘Tanayzer’ ameweka wazi kuwa haitatokea hata siku moja kumsahau muasisi wa kundi hilo, Abdul Bonge…

Sabby: Ndoa Ilinipotezea Muda

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend DUH! Kwa mara ya kwanza tangu ndoa yake ivunjike mwaka jana, msanii wa filamu na Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby’ ameweka wazi kuwepo ndani ya ndoa kulimpotezea muda mwingi kwani angekuwa amefika…

Mwasiti Amvulia Kofia Nandy

MSANII mkongwe kunako anga la muziki mtamu wa Bongo Fleva, Mwasiti Almasi ‘Kipepeo Mweusi’ amemvulia kofia msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ akisema ni mpambanaji kwelikweli. Akipiga stori na OVER ZE WEEKEND,Mwasiti…

Mwasiti Afunguka Kuacha Muziki

MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa upande wake bado hajawaza wala kufikiria kuachana na masuala ya muziki. …

Aslay Ataja Sababu za Kuwa Singo

MWANAMUZIKI Bongo Fleva, Aslay Isihaka ameeleza sababu ya kukaa bila mpenzi (kuwa singo), Aslay anasema kuwa, kwa sasa ameamua kuwa bize na mambo yake kwa sababu haoni faida ya kuwa na mwanamke maishani mwake. Akistorisha na OVER ZE…

Sonia ni Staa Tangu Azaliwe!

MWIGIZAJI mkongwe wa Bongo Movies, Yvonne Cherry ‘Monalisa’, amefunguka kuwa, mwanaye Sonia alikuwa staa tangu anazaliwa. Akipiga stori na OVER ZE WEEKEND, Monalisa au Mona amesema umaarufu wa Sonia unaweza ukawa hujaanza…

Tessy Jimbo Liko Wazi!

AONGEZE sauti? Sosholaiti matata Bongo ambaye ni baby mama wa staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka, Katyesia Abdul ‘Tessy Chcolate’ amesema jimbo lipo wazi kwa sasa, lakini shobo. Akistorisha na OVER ZE WEEKEND, Tessy amesema…

Jux Kuvuta Jiko Soon

HAYAWI hayawi yanakwenda kuwa! Megastaa wa RnB Bongo, Juma Mussa ‘Jux’ amevunja ukimya kuwa muda umefika wa kuvuta jiko. Akipiga stori na OVER ZE WEEKEND, Jux amethibitisha kuwa na uwezo wa kumtunza mwanamke kwa kila kitu…

Nyoshi Aja Kivingine!

MKALI wa Dansi Bongo ambaye ni Prezidaa wa Bendi ya Bogoss Musica, Nyoshi El Saadat amekuja kivingine ambapo anatarajia kuzindua staili mpya ya uchezaji baada ya kujizolea umaarufu na staili ya Naliamsha Dude. Nyoshi…

Malaika: Sina Wivu na Zuchu

MWANA-MUZIKIkutoka Bongo Flevani aliyetamba na ngoma kama Zogo, Sare na nyingine, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema hana wivu wala kinyongo kwa wanamuziki wenziye wa kike wanaotamba kwa sasa kama Zuchu.Amesema kila mtu ana kipaji chake na…