The House of Favourite Newspapers

Video Mpya: Pam D – Yeyo

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ unaoitwa Yeyo ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini: Android ===>GooglePlay iOS ===>AppStore Baada ya kuingia…

PAM D KUTIMKIA SAUZ

SIKU chache mara baada ya kuachia Ngoma ya Umepenya akiwa amemshirikisha Mfalme wa Singeli, Selemani Jabir ‘Msaga Sumu’ staa wa Bongo Fleva, Pamela Daffa yupo mbioni kutimia nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na kujikita huko kimuziki.…

PAM D AHUZUNISHWA NA MKE WA ROMA

SIKU chache baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kufungiwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kutofanya sanaa miezi sita kutokana na wimbo wake wa Kibamia kukosa maadili, msanii…

PAM D AGEUKIA SINGELI

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameamua kugeukia muziki wa singeli na kuahidi kuliteka soko hilo, kwa kuwa anaamini muziki huo bado haujapata mwanamke anayeumudu. Akipiga stori na Risasi Vibes, Pam D alisema yupo…

Mesen Ampa Wakati Mgumu Pam D

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amejikuta kwenye wakati mgumu wa kumfariji ndugu yake ambaye pia ni msanii mwenzake, Mesen Selekta kutokana na kufiwa na mama yake ambaye alimfia mikononi mwake. Akistorisha na Mikito…

MAMA MENSEN AFIA MIKONONI MWA PAM D

MAMA mzazi wa mwanamuziki Mensen Selekta, siku ya Jumatatu, wakati watu wakisherehekea Sikukuu ya Krismasi alifariki majira ya saa kumi jioni kutokana na ugonjwa wa Kisukari. Akizungumza na Showbiz-Xtra kwa majonzi Mensen alisema, mama…

Magauni Yamtesa Pam D

MSANII wa Bongo Fleva Pamela Daffa ‘Pam D’ amekiri kutamani kuvaa magauni kama wanawake wengine ila bado anapata shida kwa mazoea ya kuvaa nguo za kiume. Pam D akichonga na Full Shangwe alisema kuwa, anapata wakati mgumu kuanza…

Malaika Amfungukia Pam D

MKALI wa ngoma za Saresare pamoja na Zogo, Diana Exavery ‘Malaika’ amefunguka kuwa  mashabiki wa muziki wamekuwa wakimfananisha staili yake ya uimbaji na mwanamuziki mwenzake Pamela Daffa ‘Pam D’ kutokana na wote kufanya kazi…

Pam D Aofia Kumuanika Mpenzi Wake

 STORI: BONIPHACE NGUMIJE, RISASI JUMAMOSI, MKITO NUSUNUSU MWANADADA anayefanya vyema kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amefunguka kuwa anahofia kumwanika mpenzi wake ili kuepuka watu kuwaachanisha kama ilivyo kwa…

Tanzia: Pam D Afiwa na Baba Yake

  Shedrack Nyato enzi za uhai wake. Staa wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amefiwa na baba yake, Shedrack Nyato nyumbani kwake Mbagala jijini Dar jana. Mtandao huu ukiongea na dada wa Pam D aitwaye Rehema Nyato, amesema chanzo cha…

Pam D Roma wazua utata ATM

MAYASA MARIWATA WASANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ na Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ hivi karibuni walizua utata baada ya kuonekana wakiwa wamegandana kwa mapozi ya kimahaba kwenye mashine ya kuweka na kutolea fedha…

Pam D: Ubonge Unanitesa

Na Gladnness Mallya MKALI wa Kibao cha Nipe Nono, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameeleza kuwa ubonge nyanya alionao kwa sasa unamtesa kwani amefanya kila juhudi kuuondoa bila mafanikio. Akiteta na Risasi Mchanganyiko, Pam D alisema amekuwa…

Pam D alia na Chid Benz

Pamela Daffa ‘Pam D Na Mayasa Mariwata MKALI wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amesema kuwa, hali aliyonayo Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kwa sasa kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya imekuwa ikimnyima usingizi kwa kuwa ni moja ya…

Pam D astukia wanaume kumlemaza

Pam D Stori: hamida hassan Binti ambaye sasa hakamatiki kwenye ulimwengu wa muziki Bongo, Pam D amefunguka kuwa, sasa hivi anasitisha kolabo na wasanii wa kiume akiwemo yule aliyemtoa, Mesen Selekta akidai kuwa amegundua wanamlemaza.…