The House of Favourite Newspapers

Esma, Queen Darleen Kama Zamani

DAR: Zile taarifa zilizosambaa hivi karibuni mitandoani kuwa ndugu wawili wanaounganishwa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Esma Khan na Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’, hawaivi chungu kimoja, hatimaye zimeisha.…

Miguu ya Queen Darleen Gumzo

Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa staa wa muziki nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni alizua gumzo baada ya kuweka picha ya miguu yake kwenye mtandao wa Instagram. …