The House of Favourite Newspapers

Nicole Sipendi Sana Umaarufu

MREMBO mwenye figa matata Bongo, Nicole Joyberry hivi karibuni amefunguka kitu asichokipenda sana kwenye maisha yake kuwa ni umaarufu kwa sababu unamzuia kufanya mambo yake mengine ya kawaida. Akizungumza na Risasi Vibes,…

Msami: Diamond Ananiogopa!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Msami amesema msanii mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’ anamuogopa ndio maana hampi nafasi kwenye matamasha yake. Akizungumza na Risasi Vibes, Msami amesema kuwa Diamond au Mondi anajua siku…

Amber lulu Amtolea Uvivu Uchebe

BAADA ya mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe kuposti picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na msanii Lulu Eugene ‘Amber Lulu’ na kusindikiza na maneno yaliyoashilia kuwa mrembo huyo…

Maua Sama Afafanua Bifu Na Nandy

MSANII wa Bongo Fleva, Maua Sama, amefungukia kuhusu madai ya kuwa na tofauti na msanii mwenzake Faustina Charles ‘Nandy’. Akizungumza na Risasi Vibes, Maua ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ya ‘Kan Dance’ amesena kuwa yeye…

 Minu Aapa Kumuoa Snura!

MPENZI wa mwanamuziki wa Singeli nchini, Snura Mushi, Minhal Azad ‘Minu’ amesema kuwa, atakuwa mjinga aliyepitiliza kama hatamuoa mpenzi wake huyo kwa sababu ni mwanamke mwenye busara na anafaa kuwa mama wa familia yake. …

Gigy Money Kurudi Shule

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema kwamba, ameamua kurudi shule ili atimize malengo yake ambayo hakuweza kuyatimiza nyuma. Akipiga stori mbili tatu na Risasi Vibes, mrembo huyo mwenye mvuto wa aina…

Poshy Awachukia Kweli Wanawake!

MREMBO ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umbo lake kuonekana kuwavutia watu mbalimbali, Jacqueline Obeid ‘Poshy’ amefunguka kuwa wanaoongoza kwa chuki na roho mbaya ya kumchukia na kumzushia maneno ni wanawake wenzake na…

Rosa Ree: Natamani Kuitwa Mama

SEX Lady kunako anga la muziki wa Hip Hop, Rosary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kwa sasa naye anatamani kuitwa mama.Akizungumza na Risasi Vibes, Rosa Ree amesema kuwa ndoto yake kubwa ilikuwa siyo kuwa msanii mkubwa, bali ni kuja…

Muna: Sina kinyongo na Wema

MSANII wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amesema kuwa hajawahi kuacha kumpenda msanii mwenzake Wema Sepetu licha ya mambo yote yaliyowahi kutokea kati yao.  Akizungumza na Risasi Vibes hivi karibuni ikiwa ni baada ya wawili hao…

Mimi Mars Amkingia Kifua Vanessa

BAADA ya kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa, dada ake msanii wa Bongo Fleva, Vannesa Mdee ‘V Money’ kuwa yupo bize na mapenzi kuliko kufanya kazi, Mimi Mars ambaye ni mdogo wa msanii huyo, ameibuka na kumkingia kifua. …

Lava Lava Ammwagia Sifa Kiba

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva kunako lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Abdul Idd ‘Lavalava’ ameonesha kummwagia sifa bosi wa lebo ya King’s Music, Ali Salehe Kiba ‘King Kiba’. Akizungumza na Risasi Vibes, Lavalava…

Joseph Msami amtolea povu Mwijaku

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Msami amemtolea povu msanii wa filamu Bongo, Mwemba Batoni ‘Mwijaku’ na kusema kuwa aache tabia ya kujifanya ndiye msemaji wa familia za watu.  Akizungumza na Risasi Vibes, Msami alisema kuwa…

Mobeto; Sina fanicha mimi?

HIVI karibuni maneno yalisambaa mitandaoni kwamba mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto hana samani za ndani hivyo aache majigambo, baada ya maneno hayo kutikisa, mwenyewe ameibuka na kukanusha vikali maneno hayo.…

Rosa Ree Atoa Somo la Urembo

MREMBO anayefanya Hip Hop Bongo, Rasery Roberty ‘Rosa Ree’ amesema kuwa anajiamini kwamba yeye ni mzuri, ndio maana haoni sababu ya kupaka make up kila kukicha. Akipiga stori na Risasi Vibes, Rosa Ree amesema kuwa wasichana…

Snura Akana kumwagana na Minu

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amekanusha kuwa hajaachana na mpenzi wake Minu Calypto kama ambavyo watu wengi walikuwa wakiamini hilo.  Akizungumza na Risasi Vibes, Snura amesema kuwa anawashangaa watu kwa kujadili…

Mobeto: Mniache sina mwanaume

MWANAMAMA anayebeba ‘taito’ tatu kwa mpigo ya uigizaji, mwanamuziki na mwanamitindo, Hamisa Mobeto amesema hana mwanaume na hahitaji usumbufu.  Akizungumza na Risasi Vibes, Hamisa amesema anashangaa watu wengi wanajadili suala la…

Davina: Shilole ni mwanamke na nusu

MSANII wa Bongo Muvi, Halima Yahaya ‘Davina’ amefunguka kuwa anamkubali sana msanii mwenzake Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kwa sababu ni mtu ambaye hafeki maisha, anaishi atakavyo.  Akizungumza na Risasi Vibes, Davina amesema kuwa kwa…