Dogo Janja Afichua Mapya Kuhusu Irene Uwoya “Tulifunga Ndoa Kweli, Tuliachana Vizuri”
DOGO JANJA au Janjaro; ni staa mkubwa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ambaye aliingia kwenye sanaa kwa namna ya ajabu kabisa. Licha ya Arusha anakotoka kuwa na historia ya kutoa wanamuziki wengi, wazuri wa kitaifa na…