SHOGA; Usikubali Ukoko Siyo Chakula
Na SOPHIA MAM`DOGO| GAZETI LA UWAZI| MAKALA
HEEE heeeiyaaa shoga yangu wa ukweli, ni Jumanne nyingine tumekutana kwenye kona yetu hii ya mambo yetu yaleeee, mambo ya mashamsham, mambo ya mahabati, mambo ya kujiachia kama siyo kuelimika,…