The House of Favourite Newspapers

Majonzi, Simanzi Vyatanda Chato

Ni majonzi, simanzi na huzuni ndiyo iliyotawala wilayani Chato mkoani Geita mahali ambapo Hayati Rais wa Jamuhuri ya Muungano anatokea hii ni baada ya taarifa za msiba wa kiongozi huyo ambaye alikuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa…

KIJANA ADAIWA KUUAWA NA POLISI

BUKOBA: Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Salehe Ally Mujaheji (pichani) anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi mara baada ya kutoroka katika Kituo cha Kayanga, wilayani Karagwe mkoani Kagera. TUJIUNGE NA CHANZO…

Mchawi wa Yanga ni Huyu Hapa

LICHA ya usajili wa gharama kubwa ambao wameufanya Yanga ikiwemo kwenye eneo la ulinzi, lakini mashabiki wa timu hiyo hawana furaha na kikosi chao kutokana na matokeo mabaya wanayoendelea kuyapata. Timu hiyo inayonolewa na…

Hatma ya Uchaguzi TFF Julai 16

SAKATA la maombi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeingia katika sura mpya ambapo sasa kesi hiyo imepelekwa mbele mpaka Julai 16, mwaka huu, uamuzi utatolewa. Kesi hiyo imefunguliwa na…

KIBA KAMA MFALME OMAN!

DAR ES SALAAM: Hii ni zaidi ya historia! Mkali wa Bongo Fleva, Ally Salehe Kiba ‘AliKiba’ amejitengen­ezea heshima baab’kubwa baada ya kupata mapokezi ya nguvu, nchini Oman alipokwenda kufanya shoo. Mkali huyo aliwasili nchini humo…

DARASA AONYESHA JEURI YA PESA

WAKATI mta­zamo wa baadhi ya watu wakiamini kuwa Muziki wa Hip Hop Bongo haulipi kivile, hali imekuwa tofauti kwa staa Sharif Thabeet ‘Darassa’ baa­da ya kubainika anaishi kwenye mjengo wa kifahari uliopo maeneo ya Bahari Beach jijini…

KWA HAYA MONDI , KIBA MUAMKE TU

UNAKUM-BUKA vile vibweka vya mwenye kiti chake amerudi? Ally Salehe Kiba aliyekuwa amepotea kwenye gemu takriban kama miaka mitatu hivi, alirejea na kukuta muziki umeshikiliwa na bwana’ mdogo kutoka Tandale, Nasibu Abdul ‘Diamond…

TFF Yatoa Msimamo Kuhusu Ali Kiba

BAADA ya hivi karibuni baadhi ya watu kudai kuwa mchezaji mpya wa Coastal Union ya Tanga, Ally Salehe Kiba ‘Ali Kiba’ kuwa kanuni za Ligi Kuu Bara hazimruhusu kuitumikia timu hiyo katika ligi hiyo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)…

Ndoa Ya Banda, Zabibu Kiba Gumzo

‘KAPO’ inayoonekana kuwavutia wengi mtandaoni ya mwanasoka Abdi Banda na dada wa staa mkubwa wa muziki Bongo, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’, Zabibu Kiba imekuwa gumzo baada kuonekana dalili kuwa, wawili hao wataoana mwezi Agosti, 2018.…