The House of Favourite Newspapers

IGP Sirro, Ole Sabaya Kumtetea Mbowe

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamesomewa maelezo ya mashtaka yanayowakabili leo Jumatatu, Agosti 23, 2021 ikiwemo; 1. Kula njama za kutenda ugaidi (kulipua vituo…