SportPesa Yamwaga Bilioni 21.7 kwa Yanga, Zawadi Nonoo Ubingwa wa Afrika
Kampuni ya michezo ya kubashiri, SportPesa, imeingia mkataba wa miaka mitatu na Klabu ya Yanga wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7.
Kwa mujibu wa mkataba huo, Yanga itavuna Shilingi Bilioni 7.2 kila mwaka, ndani ya kipindi cha miaka…
