The House of Favourite Newspapers

Stamina Kumuomba Msamaha Mkewe?

MKALI wa Hip Hop Bongo, Bonventure Kabongo ‘Stamina’ amesema suala la kumuoma msamaha aliyekuwa mkewe ni jambo la siri na la watu wawili. Stamina amesema haliwezi kuwa jambo la kuweka hadharani kwani wakati wanakubaliana kuwa kwenye…

Stamina: Naweza Kusimama Bila Roma

RAPA mkali Bongo, Bonventure Kabogo ‘Stamina Shorwe-bwenzi’ amejimwambafai kuwa, anaweza kusi-mama mwenyewe bila rapa mwenzake, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ wanaounda muunganiko wa ROSTAM. Akistorisha na OVER ZE WEEKEND,…

Ndoa Mpya Ya Stamina Yanukia

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Bonivanture Kabongo ‘Stamina’ ameeleza kuwa baada ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika, kwa sasa yupo mbioni kuingia kwenye ndoa nyingine kwa kuwa yeye ni mwanaume aliyekamilika. Stamina ambaye ana ngoma…

Stamina Ageukia Uandishi wa Vitabu

MSANII anayefanya vyema kunako kiwanda cha Hip Hop nchini Bonivanture Kabonga ‘Stamina’ amefunguka kwamba mbali na kazi za muziki, mwaka huu mashabiki zake wategemee pia kupokea kazi zake za uandishi ambapo ana mpango wa kuachia vitabu…