The House of Favourite Newspapers
Tags:

Jux + Vee Money = Project?

Haya mapenzi basi ya kisela, Leo raha kesho wanisema, Haya mapenzi basi ya kisela, Leo raha kesho wanikera, Haya mapenzi basi ya kisela, Si ulisema kamwe hutonitenda, Moyo wangu hauna uwezo tena, Kwani mapenzi…

VEE MONEY AMFUNGUKIA JUX

BAADA ya maneno mengi kuendelea kusambaa mitandaoni kuwa penzi la mwanandada anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na Juma Khalid ‘Jux’ limevunjika na kila mmoja anafanya maisha yake, hatimaye mrembo…

SABABU YA VEE MONEY KUZUNGUKA NA JUX

IKIWA imepita wiki moja tangu wamalize ziara yao ya In Love and Money, staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amefunguka sababu ya kuzunguka mikoani na Juma Khalid ‘Jux’ kuwa ni mashabiki watambue mbali na muziki wao ni…

VEE MONEY Achekelea Views YouTube

MWANADADA ambaye kwa sasa anafanya vyema na album iitwayo Money Mondays, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, hivi karibuni amechekelea views katika mtandao wa YouTube ambazo wimbo wake namba 9, kwenye album yake uitwao Wet, umepata. Wimbo huo…

Dogo Janja Amzimia Vee Money

MKALI wa  Ngoma ya  Ngarenaro,  Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’,  amefunguka kuwa  hakuna mwanamuziki wa  kike Bongo anayemzimia  kama Vanessa Mdee  ‘Vee Money’ kutokana na  swagga zake. Dogo Janja ambaye  amekuwa akihusishwa  kuwa…

Vee Money Ampa Stress Lulu Diva

WANAMUZIKI ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo uitwao Utamu, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa mwanamuziki wa kike anayempa mawazo hapa Bongo ‘sterss’ ni Vanessa Mdee ‘Vee- Money’ ambapo kila akifikiria juu ya kazi zake…

Madaha, Kwa Vee Money Ni Wivu Tu

MUZIKI wa Kizazi Kipya maarufu kama Bongo Fleva umepita katika njia nyingi sana hadi kufika hapa ulipo leo, ambako wanaoufanya wanatengeneza fedha nyingi tofauti na waasisi wake walivyofanya siku za nyuma. Mashabiki, kulingana na…

Vee Money kuja na Trey Songz

Msanii mwenye ‘title’ kubwa Afrika Mashariki,Vanessa Mdee Vanessa Mdee 'Vee Money.Stori: Boniphace NgumijeBAADA ya msanii mwenye ‘title’ kubwa Afrika Mashariki, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kutajwa hivi karibuni kuwania tuzo kubwa za kazi na…