Osha Yatoa Elimu ya Usalama Kazini kwa Waandishi wa Habari
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), wametoa mafunzo kwa waandishi wa habari zaidi ya 50, ambao ni wanachama wa Chama cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari nchini (JOWUTA) kwa lengo la kujengewa uelewa kuhusu usalama kazini.…