The House of Favourite Newspapers

Wajawazito Watafuta Wanaume Bandia

KINA mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni zinavyodai hali inayopelekea wakina mama hao kutafuta wanaume wengine kwenda nao…

Ugonjwa wa UTI kwa wajawazito -2!

MAAMBUKIZI ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea ambavyo kitaalamu hujulikana kama E. Coli. Vimelea hawa huishi kwenye mfumo wa chakula bila kuleta madhara yoyote wawapo humo, ila wakiingia kwenye njia ya mkojo huleta…

MADHARA YA PUMU KWA WAJAWAZITO

Tafiti kadhaa zimeonesha kuwa takribani theluthi moja ya wajawazito wenye pumu hupata nafuu kipindi cha ujauzito, theluthi nyingine hupata matatizo kipindi hiki na theluthi iliyobakia huwa na hali ya kawaida kabla ya ujauzito. …

FAHAMU MADHARA YA PUMU KWA WAJAWAZITO

TAFITI kadhaa zimeonesha kuwa takribani theluthi moja ya wajawazito wenye pumu hupata nafuu kipindi cha ujauzito, theluthi nyingine hupata matatizo kipindi hiki na theluthi iliyobakia huwa na hali ya kawaida kama kabla ya ujauzito.  Kwa…

FAHAMU TATIZO HATARI KWA WAJAWAZITO

MIMBA kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (uterus) ni tatizo hatari ambalo linawaathiri wanawake wengi.  Kwa kawaida, mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua na kuwa mtoto kamili. Mimba hizi ni hatari kwa afya ya…

WAJAWAZITO WAPATATISHIO JIPYA!

UPEPO wa maisha ya Maria na Consolata Mwakikuti, pacha walioungana ambao walifariki dunia hivi karibuni na kuzikwa mkoani Iringa baada ya kuishi kwa miaka 21 duniani bado unavuma kwa kasi huku ukionekana kuwaacha wajawazito kwenye…

Dalili Hatari kwa Wajawazito

Na DOKTA WA RISASI| MTANDAO|RISASI JUMAMOSI| MAKALA na Mitandao WAJAWAZITO wengi huugua wakati wakiwa na ujauzito. Zipo sababu zinazofanya kutokea kwa maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba.  Kuna matatizo…