Muigizaji mkongwe nchini Tanzania, Jacqueline Wolper amemwandikia muigizaji mwenzake, Wema Sepetu akimwambia kwamba siku atapata ujauzito, atakuwa mtu wa kwanza kujitolea na kumfungia ndani akimhudumia kwa kila kitu…
WEMA Isaac Sepetu; ni muigizaji mkubwa nchini Tanzania ambaye amesema kuwa hana mpango wa kujitosa kwenye muziki wa Bongo Fleva kama ambavyo baadhi ya watu wanafikiria.
Wema au Last Born wa Taifa anasema kuwa, ana uwezo wa…
Wema Isaac Sepetu; ni staa ambaye kila kukicha manyota yanazidi kung’aa, lakini bado akiwa na machungu tele moyoni baada ya kutafuta mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio.
Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA, Wema…
MAMA mzazi wa supastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Bi. Sanura Kasimu almaarufu Mama Dangote amesifia aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Mwanawe, Wema Sepetu.
Ingawa kumekuwa na tetesi kwamba Diamond anatoka kimapenzi na…
MALKIA wa Bongo Muvi, Wema Sepetu amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa kwa maneno makali na baadhi ya mashabiki kufuatia moja ya post aliyoweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram.
Tukio hilo limetokea leo…
MALKIA wa Bongo Muvi, Wema Sepetu amejikuta akishindwa kuvumulia na kuamua kumtolea makavu bila chenga shabiki aneyafahamika kwa jina la Lukondej baada ya shabiki huyo kukoment kwenye post ya Wema aliyoweka akiwa na mtoto inayesemekana…
VANESSA Mdee ndiye mama mpya mjini! Nddiyo, siku chache baada ya kutangaza ujauzito wake mkubwa, ni rasmi sasa kwamba amejifungua mtoto wa kiume.
Mastaa kutoka kada mbalimbali Bongo wamempongeza Vanessa ambaye alikuwa…
BAADA ya kujinadi kuwa yeye ni Wema wa Buguruni na kwamba ni shabiki mkubwa wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, hatimaye miss huyo amekubali kukutana naye uso kwa uso binti huyo anayeishi Buguruni jijini Dar.
Wema wa Buguruni ambaye…
KATIKA kuelekea sikuku ya Krismas ambayo husherehekewa na wakristo kote dunia ya kuzaliwa kwake yesu kristo Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye pia ni balozi wa nywele za Angels amegawa rasta kwa mashabiki…
NINI kimemkondesha msanii Wema Sepetu? Majibu ni mengi kuzidi swali lenyewe kiasi cha kufanya afya yake kuleta wingu zito miongoni mwa mashabiki wake.
Imeelezwa mara kadhaa kuwa, kukonda kwa msanii huyo aliyepata kuwa Miss…
AFYA ya staa mkubwa Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ haiku sawa, Risasi Mchanganyiko lina undani wa matukio yake ya kuzimia ghafla.
Usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita Wema alianguka na kupoteza fahamu usiku wa manani…
MREMBO wa miaka yote, Wema Sepetu amesema hata kama amepungua mwili kiasi gani lakini anajivunia kwamba bado kalio lake lipo vilevile. Wema aliyasema hayo hivi karibuni alipokutana na mwanahabari wetu na kupiga naye stori ambapo…
BAADA ya kuwa kimya kwa kipindi, muigizaji ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, amefika katika ofisi za Global Group zilizoko Sinza-Mori jijini Dar na kuanika sababu za ukimya wake huku akitambulisha kampuni yake…
BAADHI ya wanazuoni wa Dini ya Kiislamu na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wamewaonya mashehe wanaomfanyia dua msanii Wema Sepetu kuwa wawe makini vinginevyo watamsababishia matatizo, Risasi Jumamosi lina habari…
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu, kukaa mahabusu kwa siku saba hadi Jumatatu ijayo, Juni 24, wakati akisubiri uamuzi wa mahakama kumfutia…
Jina lake halisi anaitwa Pierre lakini anajulikana zaidi kwa jina la 'LIQUID MASTER' na umaarufu wake umetokana na ulevi wa pombe kupita kiasi ambapo video zake zilianza kusambaa mitandaoni zikimuonesha akiwa amelewa na…
Katika kipindi cha MPAKA HOME Wiki tumemtembelea Mkali wa vichekesho, Papa Mafido, anayeishi Sinza na kupiga nae stori mbili tatu kuhusiana na kazi yake ya uchekeshaji ambayo kwa sasa imekuwa na ushindani mkubwa.
BODI ya filamu nchini imetangaza leo kumfungulia muigizaji Wema Sepetu baada ya adhabu ambayo ilitokana na video yake ya kimahaba kusambaa katika mitandao ya kijamii.
Akitoa uamuzi huo mbele…
Kesi ya kusambaza picha za utupu inayomkabili Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu imetajwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Januari 28, 2019.
Upande wa Jamhuri ukiongozwa na…
MAISHA ni safari ndefu isiyokuwa na likizo na katika maisha hayo kuna wakati mtu unapanda na kushuka, yaani safari ya maisha ni fumbo kubwa kwa kila binadamu.
Unaweza ukawa unaishi vizuri leo ukiwa mwenye furaha na amani…
Msanii wa filamu za Bongo Movies, Wema Sepetu, leo Jumatano, Novemba 21, amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili ambapo anashtakiwa na Mamlaka ya Mawasiliano…
#BREAKINGNEWS: Msanii wa Filamu, Wema Sepetu, leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akisubiri kusomewa mashtaka ya kusambaa mitandaoni kwa video zake za faragha.
Wema…
EEE Mungu naomba mtoto na mimi. Andika ameeni! Haya ni maneno niliyoyatoa kwenye Mtandao wa Facebook katika Ukurasa wenye jina la Team Wema Sepetu Tz. Lengo la ujumbe huo ulioambana na picha ya Miss Tanzania 2006, Wema ni kuwahamasisha…
MSANII wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu ishu inayoendelea sasa hivi mitandoni kuwa nani ni Tanzania Sweetheart (Kipenzi cha Watanzania) kati ya mrembo Wema Sepetu na mwanamitindo Hamisa Mobeto.…
MSANII mkubwa wa filamu nchini Ghana, Van Vicker, amewasili nchini Tanzania leo saa 10 alfajiri na kupokelewa na mwenyeji wake ambaye ni msanii wa Filamu Bongo, Wema Sepetu.
Van Vicker amekuja nchini kwa ajili ya kuzindua…
BAADA ya kuanika mjengo wake aliojenga maeneo ya Majohe, Dar, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kuwapa somo mastaa wenzake wa kike akiwemo Wema Sepetu na Irene Uwoya. Akipiga stori na Risasi…
KIBANO! Ndivyo unaweza kusema kufuatia kitendo alichofanya mwanadada kipenzi wa Watanzania, Wema Isaac Sepetu cha kumzaba vibao mpenzi wake wa zamani, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ kisa kikiwa ni msanii wa Bongo Muvi, Husna Idd ‘Sajenti’.…
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Abdi Kassim ‘Babi’ amefunguka kuwa amefurahia kitendo cha timu yake ya zamani cha kuandaa mchezo wa kumuaga aliyekuwa nahodha wake, Nadir Haroub ‘Cannavaro.’
Cannavaro amestaafu kuichezea timu…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeaza kusikiliza utetezi wa mshtakiwa ambaye ni muigizaji, Wema Sepetu na wafanyakazi wake wawili, Angelina Msigwa na Matrida Abass, baada ya mahakama hiyo…
BAADA ya kupewa Tuzo ya Msanii Bora wa Kike 2018 zilizokuwa zikitolewa na Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF) zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar hivi karibuni, staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu, sasa…
Siku chache baada ya Wema Sepetu kulamba tuzo mbili katika hafla ya utoaji wa tuzo za Sinema Zetu, mambo yanaonekana kumnyookea ambapo sasa amelamba shavu jingine kutoka Azam TV, ya kuitoa kazi yake katika mfumo wa DVD ambapo itakuwa…
MUIGIZAJI wa filamu, Wema Sepetu, amefunguka na kudai Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameletwa duniani na Mungu kwa lengo la kusaidia watu nasio vinginevyo.
Wema ametoa kauli hiyo mara baada ya Mhe. Makonda…
SURPRISE ya nguvu imefanyika usiku wa kuamkia leo pale Hyatt Regency Hotel baada ya Malkia wa Bongo Movies, Wema Seetu kumpandisha mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ukumbuni kwa ajili ya ufanya makamuzi.
Tukio hilo…
SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu leo ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram, zikimuonesha akiwa na mwonekano mpya ambapo muda mfupi baadaye, mashabiki zake walianza kutoa maoni yao, wengi wakionesha…
MSANII maarufu wa Bongo Movie, Wema Sepetu leo Ijumaa, Desemba 1, 2017 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kurudi katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile alichodai kuwa ni kukosa amani ndani ya…
BILIONEA wa nyumba za Lugumi, Dkt Louis Shika amemfungukia 'Tanzania Sweetheart', Wema Issac Sepetu kuwa ni staa ambaye anamkubali ukiachana na huyo kwa upande wa muziki Ray C ni mmoja wa mwanadada ambaye anamkubali kupitia nyimbo…