The House of Favourite Newspapers

Wema Sepetu Yamkuta Huko

MALKIA wa Bongo Muvi, Wema Sepetu amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa kwa maneno makali na baadhi ya mashabiki kufuatia moja ya post aliyoweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram. Tukio hilo limetokea leo…

MBASHA AMFUNGUKIA WEMA SEPETU

MSANII wa Muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu ishu inayoendelea sasa hivi mitandoni kuwa nani ni Tanzania Sweetheart (Kipenzi cha Watanzania) kati ya mrembo Wema Sepetu na mwanamitindo Hamisa Mobeto.…