EXCLUSIVE: GLOBAL TV ONLINE YATUNUKIWA ‘GOLD CREATOR AWARD’ NA YOUTUBE – (PICHAZ)
CHANNEL namba moja ya mtandaoni Afrika Mashariki kwa burudani, habari za jamii, kitaifa, kimataifa, Siasa na michezo na breaking news, Global TV Online imetunukiwa ‘Gold Creator Award' na wamiliki wa mtandao maarufu wa video duniani,…
Video: DJ Snake feat. Justin Bieber – ‘Let Me Love You’
DJ Snake - Let Me Love You ft. Justin Bieber
Nandy feat Alikiba – Dah! (Official Music Video)
SUPASTAA wa Bongo Fleva, Faustina Charles Mfinanga ‘Nandy’ ameachia wimbo wake mpya wa Dah! amemshilikisha Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba.
Harmonize Feat. Bobby Shmurda & Bien – I Made It (Lyrics Video)
Msanii wa muziki Bongo Fleva, Harmonize ameachia Audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la I Made It.
Abdukiba feat Vanillah & Alikiba – MUDA (Official Lyric Video)
Msanii wa Bongo Abdukiba ameachia video ya wimbo wake mpya wa MUDA ambao amemshilikisha Supastaa wa Bongo Fleva, Alikiba, Vanillah
Whozu Feat. Billnass & Mbosso – Ameyatimba Remix (Official Music Video)
Msanii wa muziki Bongo, Whozu ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ameyatimba Remix amewashirikisha Billnass na Mbosso .
Fahamu Maajabu Ya Infinix Zero 30, Simu Mahususi Kwa Content Creators
‘Infinix Zero 30 5G’ ni simu kali ambayo inaweza kurekodi video ya 4K kwa 60fps kutumia lens mpya ya 50MP kwa camera ya mbele. https://www.instagram.com/p/CyBFjpzClu1/
Pia simu hii ina kamera kali, unaweza kuitumia kurekodi video…
Stress Free – Young Killer Msodoki (Official Audio)
Rapa anayefanya poa kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ameachia Audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'Stress Free'
Alikiba feat Marioo – Sumu (Official Music Video)
MSANII nguli wa mziki wa kizazi kipya (Bongo fleva), Alikiba na Marioo wameachia video ya wimbo wao wa Sumu.
Diamond Platnumz feat Chley – Shu! (Official Music Video)
Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya Shu!
Coca-Cola Kwanza, Oryx Gas And Institute Of Social Works Supports Young Food Vendors In Dar
Coca-Cola Kwanza has partnered with Oryx Gas and the Institute of Social Work to launch this year’s ChipsikaKiajirana Coke, a youth economic inclusion project aimed at supporting more than 1,100 young food vendors in the streets of…
Ramaphosa Akiri Tatizo la Umeme Afrika Kusini Limeathiri Sekta ya Madini
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa anasema tatizo la umeme limeathiri kwa kiwango kikubwa sekta ya madini, nguzo muhimu ya uchumi.
Ramaphosa alitoa kauli hiyo alipokuwa akihutubia katika mkutano mkubwa wa Afrika wa uwekezaji…
Wadau wa Sanaa Seattle Kuupeleka Muziki wa Tanzania Kimataifa
MUZIKI na sanaa nyingine za Tanzania vitapata fursa nyingine muhimu kuzidi kupaa kimataifa kufuatia mazungumzo yaliyofanyika kati ya wawakilishi wa Serikali ya Tanzania na wadau wa sanaa katika mji wa Seattle nchini Marekani.
…
Chipsika Kiajira na Coke: Over 900 Young Food Vendors Have Received a Shot in the Arm
Sunday October 30, Dar es Salaam – More than 900 young food vendors have been equipped to take their rightful place as equals in the economy through a collaboration between Coca-Cola Kwanza Ltd (a subsidiary of…
900 Young Food Vendors Are Set For Business Success
Victor Byemelwa, Sustainability and Communications Specialist-Coca-Cola Kwanza Ltd talks to Journalist, left is CPA Aisha Kipande from Institute of Social Works na right is Nelson Chusi of M Gas
11October2022, Dar es…
Mayweather Amchapa Mkali wa ‘Mixed Martial Arts’ Mikuru Asakura Kwa KO – Video
Lejendari wa masumbwi duniani, Floyd Mayweather asubuhi ya leo Jumapili Septemba 25, 2022 amemchapa mkali wa mixed martial arts mjapan Mikuru Asakura kwa KO ya raundi ya pili huko Japan.
Mikuru kuelekea katika pambano hilo alikuwa…
Rayvanny Yamkuta Tena, Tetema Yafutwa Youtube, Prodyuza Ahusika
MAJANGA bado yanamuandama msanii wa Bongo Fleva, Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvanny’ baada ya video ya wimbo wake wa Tetema aliyomshirikisha aliyekuwa bosi wake Diamond Platnumz imefutwa kwenye chaneli ya YouTube.
Inaelezwa…
Your Sports Calendar For July
Sport fans the world over has had a wonderful year of sport in 2022 so far. Football lovers has had a wonderful year with many of the premier leagues around the world having finished and fans are now looking forward…
Nafasi za Kazi Research Triangle Institute (RTI), Gender, Youth, Equity and Social Inclusion…
Research Triangle Institute (RTI) has over 30 years’ experience assisting governments, communities, and the private sector in managing their environment and natural resources. We have delivered innovative, breakthrough solutions in key…
AY Avimba Huko Youtube, Apokea Tuzo Maalum ya Mafanikio
AY; ni staa wa muziki wa Hip Hip Bongo ambaye sasa anavimba baada ya kupokea Silver Plaque (tuzo) kutoka Mtandao wa YouTube mara baada ya chaneli yake kufikisha subscribers (wafuasi) 100,000.
AY anayetamba na Ngoma ya Masta…
Zuchu Amtisha Yemi Alade, Atinga Nne Bora Wasanii Wenye Wafuasi Wengi YouTube
ZUHURA au Zuchu ni malkia mpya wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya WCB ambaye ameweka rekodi nyingine baada ya kutinga kwenye nne bora ya wanamuziki wa kike kutoka barani Afrika wenye ufuasi mkubwa kwenye mtandao wa YouTube akimtisha…
Wolper Adai Hawezi Kucheat, Awataka Mashabiki Kusubiri Kazi Inayoshirikisha Mastaa
NYOTA wa Bongo Muvi Wolper amedai kuwa yeye hawezi kudanganya (kucheat) iwe katika mahusiano au katika mambo mengine ya msingi kama vile biashara au kazi.
Akiongea na Global TV wakati anaelezea mikakati mbalimbali ya…
Infinix Yaja na Feature ya Kuongeza RAM Kwenye Simu
RAM siku hizi imekuwa feature ya muhimu kutokana na program nyingi kwenye simu za kisasa kuhitaji nguvu kubwa ya uendeshaji. Simu mpya za kama aina ya Infinix NOTE 11 Pro yenye 8GB RAM itaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu kuongezeka RAM…
Nandy – Party (feat. Bill Nass & Mr Eazi) [Official Visualizer]
Msanii Wa Bongo Fleva,Nandy Ft Bell Nass, Ameachia Wimbo Wake Mpya-Party
Chege feat Saraphina – Sinsima (Official Music Video)
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Chege Ft Sarasphina, Ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la-Sinsima
Mwasiti Featuring Dogo Janja – Ameniwahi (Official Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Mwasiti ameachia video ya wimbo wake mpya Ameniwahi ..
Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi Remix (Official Video)
Msanii kutokea Congo Maud Elka ameachia remix ya wimbo wake "Songi Songi" akiwa amemshirikisha Alikiba.
Mayweather Agoma Kupiga Picha na Kijana Aliyepaka Rangi Kucha
Hizi hapa ni za kutokea pande za Marekani, ambapo mchezaji wa ngumi za kulipwa duniani Floyd Mayweather ameonekana akikataa kupiga picha (selfie) na kijana mmoja wa miaka 18 ambaye alikuwa amepaka rangi za kucha.
Tukio…
Mtoto wa Mayweather Matatani kwa Kuchoma Mtu Kisu
TAARIFA kutokea pande za Marekani ambapo vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuhusu taarifa ya mtoto wa kike wa bondia maarufu duniani Floyd Mayweather aitwae Yaya Mayweather kumchoma kisu Ex wa mpenzi wake.
Inaelezwa timbwili…
Bright feat Stamina-Nakuja Dar (Official Music Video)
MSANII wa muziki Bongo, Bright Ft Stamina ameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya-Nakuja Dar.
Alikiba feat Blaq Diamond – Niteke {Track No.12}
Msanii Wa Bongo Fleva,Alikiba Ft Blaq Diamond Ameachia Wimbo Wake Mpya- Niteke.
Tommy Flavour feat Alikiba – Jah Jah (Official Audio)
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Tommy Flavour Ft Alikiba, Septemba 23, 2021 ameachia wimbo wake mpya wa Jah Jah.
Salama Jabir Aacha Kazi EATV, Simba Yatajwa
Mtangazaji nguli nchini na kipenzi cha wengi, Salama Jabir jana alitangaza kuachana na kituo cha EATV ambacho amefanya kazi hapo kwa muda wa takribani miaka 19 huku sababu kuu ikiwa ni kwenda nje ya media hiyo kuona pia hali ikoje.…
Maud Elka feat Alikiba – Songi Songi Remix (Official Audio)
Msanii wa muziki Bongo Fleva, Maud Elka X Alikiba ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Songi Songi .
Fid Q x Lord Eyez Feat. Brooklyn Beauty – Shujaa (Official Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Fid Q X Lord Eyez ameachia vdio ya wimbo wake mpya
shujaa.
Investing in Our Continent’s Youth is Crucial for Sustainable Development
This International Youth Day, Africa needs to think about how it can embrace its large youth population for the benefit of the continent, says Jacques Vermeulen, Coca-Cola Beverages Africa (CCBA) CEO.
Africa is often spoken…
Diamond Platnumz – IYO Feat Focalistic, Mapara A Jazz & Ntosh Gazi (Official Video)
MSANII wa Bongo Fleva anayeipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa, Nassib Abdul ‘Diamond’ leo Julai 29, 2021 ametoa Video mpya ya wimbo wake wa IYO.
Alikiba feat Mayorkun – Jealous (Official Audio)
MSANII wa muziki Bongo, Alikiba Julai 22, 2021 ameachia wimbo na mkali wa muziki kutoka Nigeria Mayorkun. Wimbo unaitwa Jealous