The House of Favourite Newspapers

Diamond, Zari Motomoto

KILA moto wa penzi la Diamond na Zari unapotaka kuzima, ni kama kuna mtu anauwekea mafuta na mambo yanakuwa fayafaya. Stori mpya kwa wawili hao ambao wamefanikiwa kuzaa watoto wawili ni kwamba, mtandao wa Netfflix…

Zari Ajuta Kumletea Mondi Watoto

UKIACHANA na zile hekaheka za mama la mama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuwaleta watoto Bongo na kujiachia na baba yao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, taarifa zilizonaswa na AMANI zinaeleza kuwa mwanamke huyo wa Kiganda…

Sanchi kupandikiza pacha mwezi ujao

MREMBO mwenye umbo mtikisiko, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amesema mwezi ujao ndio anatarajia kwenda kupandikiza pacha watatu nchini Afrika Kusini.  Akichonga na Za Motomoto News, Sanchi alisema kwa muda mrefu alikuwa na ndoto ya kufanya hivyo…

Harmo, Zari Mambo Hadharani

YAPATA zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu ilipofahamika rasmi kwamba, supastaa wa Bongo Fleva; Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’, amejitoa kwenye lebo ya muziki iliyomlea ya Wasafi Classic Baby (WCB) iliyo chini ya mwanamuziki Nasibu Abdul Jumaa…

Ray: Nazaa tena na Chuchu

MUIGIZAJI kitambo wa filamu Bongo,Vincent Kigosi ‘ Ray’ amefunguka kuwa anataka kuzaa tena na muigizaji mwenzake, Chuchu Hansy mtoto mwingine.  Akipiga stori mbili tatu na Za Motomoto, Ray alisema kuwa ameona hakuna sababu ya kutafuta…

WELLU AFUNGUKA KUZAA WATOTO 4

MSanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo amefunguka kuzaa watoto wanne. akipiga stori na Za Motomoto, Wellu ambaye anadaiwa kuzaa na msanii mwenzake, Steven Mengere ‘Steve nyerere’ amesema kuwa anatarajia kuzaa watoto wanne ingawa hakutaka…

ZARI KUHAMA KIBABE MJENGO WA MONDI

DAR ES SALAAM: MWENYE pesa si mwenzako! Hayo ni maneno ya Wimbo wa Mtu Pesa wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ ambayo yanaakisi jeuri ya fedha iliyooneshwa na mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ huko Afrika Kusini…

ZARI AFUNGUKIA MWILI WAKE

MWANAMAMA ambaye ni mzazi mwenziye na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan ‘Zari The bosslady’ ame­wafunda wanawake jinsi ya kutengeneza mwili kama ulivyo wake.  Akizun­gumza na Za Motomoto alipokuwa akitoa…

FAIZA:  MAPENZI NI HOBI YANGU

MSANII wa filamu mwenye vituko lukuki Bongo, Faiza Ally ambaye pia ni mzazi mwenza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakipenda kama kufanya mapenzi. Akizungumza na Za Motomoto, Faiza alisema…

PENNY AFUNGUKA YA KUSHANGAZA

ALIYEKUWA mtangazaji wa EFM Radio ambaye pia ni DJ, Penieli Mungilwa ‘Penny’ amefunguka ya kushangaza kuwa ni ngumu kwake kuacha  kupekua simu ya mpenzi wake labda mambo hayo ataacha siku akiingia kwenye ndoa.  Akizungumza na Za…

ZARI AMNYIMA USINGIZI ESTER KIAMA

MSANII mrembo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Ester Kiama, amefunguka kuwa kila akimuangalia Mwanamama Zarina Hassan ‘Zari the Bosslady’ akiwa anapata dili za matangazo anaumia sana na wakati mwingine usingizi unakata na kujiuliza yeye…

WATANGAZAJI WASIOCHUJA BONGO

TASNIA ya utangazaji Bongo ina historia pana, lakini hapa nitakuwekea rekodi sawa ya watangazaji wa kizazi kipya wanaong’ara muda wote kutoka katika redio na runinga mbalimbali nchini.   Kuna vizazi vitatu vya utangazaji; cha…

DIDA: HABARI ZA NDOA TUPA KULE

LICHA ya kusifika kwa kuwa na bahati ya kuolewa mara nyingi, mtangazaji maarufu wa Redio Times, Khadija Shahibu ‘Dida’ amefunguka kuwa hataki kusikia kitu kinachoitwa ndoa kwani anaona kama inamuongezea maradhi ya vidonda vya tumbo…

Penny Afungukia Kilichompoteza

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mtangazaji wa Televisheni ya Magic Swahili, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kuanika sababu iliyomfanya apotee kuwa ni baada ya kuamua kujificha machoni kwa watu ili kuepukana na maneno na kujadiliwa bila…