JIKE SHUPA MI’ SIYO SISTADUU, NANYONYESHA MWANZO MWISHO
MUUZA nyago kwenye video za wanamuziki mbalimbali Bongo, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ amefunguka kuwa atamnyonyesha mwanaye hadi mwisho kwani yeye siyo sistaduu.
Akichonga na Shusha Pumzi, Jike Shupa alisema kulikuwa na…