ACT Wazalendo Watishia Kujitoa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar, Ado Shaibu Afunguka –…
Katibu mkuu chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu leo Machi 22, 2024 amefanya mahojiano na @255globalradio na @globaltvonline na kudai kuwa wao kama chama watajiondoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar endapo mambo yaliyoandikwa na…