The House of Favourite Newspapers

BASATA Yamwekea Mtego Diamond

BARAZA la Sanaa Taifa ( BASATA ) limewataka wasanii wote ambao watatumbuiza katika Tamasha la ‘Tumewasha’ linaloendeshwa na Wasafi Media kuhakikisha wamesajiliwa na baraza hilo ili kuwa na uhalali wa kupanda jukwaani. …

Gigy Money Afungiwa na BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemfungia miezi 6, Msanii Gigy Money kujihusisha na sanaa ndani na nje ya Tanzania na kulipa faini ya Tsh milioni 1, mara baada ya kupanda jukwaani mnamo Januari 1, 2021 jijini Dodoma akiwa amevaa…