Belle 9: Siwezi Kutembea na Mwanamke Aliyenizidi Umri
NI mzaliwa kutoka mkoani Iringa, lakini baada ya muda kidogo kupita baba yake alihamishia makazi yake mkoani Morogoro kikazi. Wakati huo staa mkubwa kwa sasa kwenye gemu la Bongo Fleva, Abednego Damian almaarufu Belle 9 alikuwa bado…