The House of Favourite Newspapers
Tags:

Nyota wa Bollywood aachiliwa huru

Sanjay Dutt. NYOTA wa filamu za Bollywood, Sanjay Dutt amewachiwa huru kutoka jela katika mji wa magharibi wa Pune nchini India. Dutt mwenye umri wa miaka 56 alihukumiwa kifungo jela kufuatia makosa ya kumiliki silaha inayohusishwa na…

Harmo Amuibulia Kimbunga Mondi

AMEMUIBULIA kimbunga, lakini siyo kile cha Jobo! Ndivyo wasemavyo mashabiki wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide baada ya bosi wao, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kuweka rekodi za kila aina ndani na nje ya Bongo, IJUMAA WIKIENDA lina ripoti…

MONDI, TANASHA WAWEKA REKODI MPYA

 STAA wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna, wameandika historia mpya Bongo. Ukisoma maoni ya kolabo ya wimbo wao mpya wa Gere kwenye Mtandao wa…

Msanii wa filamu Afariki Dunia

Msanii Mkongwe wa Filamu kutoka kisima cha Bollywood, Kader Khan, amefariki dunia hapo jana akiwa nchini Canada alipokuwa akipatiwa matibabu. Kader ambaye pia alikuwa mtunzi wa filamu na script, amefariki dunia hii leo kwa…

JB AANIKA SIRI YA KUPIGA CHINI MUVI

AMITABH Bhachchan ni muigizaji maarufu duniani aliyejipatia jina kupitia Tasnia ya Filamu India inayojulikana kwa jina la Bollywood. Kwa wapenzi wa muvi za Kihindi watakuwa wanafahamu habari yake kupitia muvi nyingi zikiwemo Shahenshah,…

Upen Patel amrudia mpenzi wake

SIKU mbili baada ya kutangaza kuachana na mpenzi wake Karishma Tanna, mkali wa filamu kutoka Bollywood, Upen Patel ameghairi na kuamua kumrudia. Awali, katika ukurasa wa Twitter wa Patel aliandika;“Mimi na Karishma tumeafikiana kwa njia…

Upen Patel amrudia mpenzi wake

Upen Patel SIKU mbili baada ya kutangaza kuachana na mpenzi wake Karishma Tanna, mkali wa filamu kutoka Bollywood, Upen Patel ameghairi na kuamua kumrudia. Awali, katika ukurasa wa Twitter wa Patel aliandika;“Mimi na Karishma…

Diamond ‘atajitwalia’ Priyanka Chopra

Miss Dunia (2000) kutoka India, Priyanka Chopra. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. HABARI mjini kwa sasa ni kuhusu tetesi za kuachana kwa ‘flawaz’, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. Kuna…

Diamond kuchuana na Priyanka Chopra kwenye MTV EMA

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz'. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa kuchuana na muigizaji wa filamu na aliyekuwa Mrembo wa Dunia (Miss World 2000), Priyanka Chopra katika tuzo za…