The House of Favourite Newspapers

Kaburi la Bongo Fleva la Chimbwa!

MUZIKI wa Nigeria umesambaa kwa kiasi kikubwa barani Afrika, Ulaya, Amerika na kwingineko. Hilo halina ubishi na ndiyo maana staa wa RnB wa Marekani, Beyonce Knowles hakupata shida kutafuta wasanii watakaojaza albam yake mpya ya The…

MARIOO ANAVYOPINDUA BONGO FLEVA

MUZIKI ni ajira lakini pia ni biashara kubwa ndiyo maana nchini Nigeria wanaichukulia ‘serious’ tofauti na wengi wanavyoiona!  Kila mwaka wanazaliwa wasanii wapya ambao wanakuja kuwa wakubwa na kukimbiza ndani na nje ya nchi ndiyo maana…

Global FC Kuwavaa Bongo Fleva

Timu ya Global FC inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Wasanii wa Bongo Fleva, Bongo Fleva Fc. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Ijumaa ya wiki ijayo kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Vikawe, Bagamoyo. Akizungumzia…

HILI NDO CHIMBUKO LA BONGO FLEVA!

MUZIKI wa kizazi kipya Bongo au maarufu kama Bongo Fleva, ndiyo unaoongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kwa sasa nchini Tanzania, hilo halina ubishi. Vijana wengi wamejiajiri kupitia muziki huu, kuna wasanii, maprodyuza na waongozaji wa…