The House of Favourite Newspapers

WOLPER AMWAGA MATUSI KISA MUNA

MUIGIZAJI mwenye jina kubwa Bongo, Jacqueline Wolper ‘Wolper’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akiporomosha matusi baada ya kuulizwa anazungumziaje sakati la Muna kumkataa mwanaye.  Akipiga stori na Risasi Vibes, Wol-per alis-ema kuwa,…

UZUNGU WADAIWA KUMFELISHA BELLE 9

MWANAMUZIKI ambaye amefanya mambo mengi kwenye gemu la Bongo Fleva ikiwa ni pamoja na kutengeneza kolabo kali, Abedinego Damian, ‘Belle 9’, amefungukia madai ya kwamba Uzungu kwenye ngoma zake unamfelisha kimuziki hayana ukweli wowote…

NIKIFA WANANGU WASOMESHWE NA RAY

CHEKESHAJI maarufu Bongo, Steve Nyerere amesema ingawa watu wamekuwa wakimkashifu kwa roho yake ya kujitolea na kusimamia misiba ya mastaa mbalimbali, lakini hatakoma kusimamia kwani ni kitu anachokifanya kutoka moyoni na kwamba…

MASTAA WAIFAGILIA TWANGA PEPETA

MASTAA mbalimbali Bongo, hivi karibuni wameifagilia Bendi ya The African Starz ‘Twanga Pepeta’ kutokana na juhudi zake za kurudisha msisimko wa Muziki wa Dansi nchini kama ilivyokuwa hapo awali. Akifungua duru juu ya kukunwa na bendi…

SIRI YA ROSA REE KUTOBOA NI HII

MWANAMUZIKI Rosary Robert, ambaye anafanya vizuri kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva na Afrika kwa sasa na Wimbo wa Way Up aliomshirikisha Emtee wa Afrika Kusini, amefunguka kuwa bila kujiamini na kusimamia kile anachokiamini…

SOLO THANG ADATA NA MAUA SAMA

MWANAMUZIKI mkongwe katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Msafiri Kondo ‘Solo Thang’, ambaye kwa sasa anaishi Uingereza hivi karibuni ameweka wazi kwamba anapenda sana muziki wa wanamuziki wengi wa kike Bongo lakini zaidi anamsikiliza…