MC Balaa Atikisa Shangwe za Eid, Dar Live
MKALI wa Singeli, Mc Balaa ambaye anatamba na ngoma ya Nakuja usiku wa kuamkia leo alifanya bonge la balaa ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar ambapo kulikuwa na shamrashamra za Eid El Fitri.…