The House of Favourite Newspapers

Darassa: Namheshimu Alikiba

RAPA Darassa amefunguka jinsi ambavyo wimbo wake #ProudofYou alioimba na Ali Kiba ulivyofanyika ambapo pia ameeleza kuwa wimbo huo ulikaa takribani mwaka mzima ndani bila kuuachia. kwenye #PlanetBongo ya East Africa Radio #Darassa…

DARASSA; ACHA MANENO WEKA MUZIKI!

MKALI wa michano Shariff Thabeet ‘Darassa’ ni mwanamuziki anayekubalika. Ukisikiliza ngoma zake za Shida, Hasara Roho, Too Much na nyingine nyingi utagundua jamaa huyu ana uwezo mzuri wa kutunga mistari yenye kuwateka mashabiki.…