The House of Favourite Newspapers

Darleen: Sijui Kama Bado Nipo Naye

MWANAMUZIKI Mwanahawa Abdul Juma almaarufu Queen Darleen amefunguka kuhusu ndoa yake na mfanyabiashara Isihaka Mtoro. Queen Darleen ambaye ni dada mkubwa wa Diamond Platnumz, anakiri kuwa hana uhakika kama bado yuko kwenye ndoa au…

Esma Yamkuta Ya Darleen

WASWAHILI wanasema kuimba ni kupokezana! Baada ya hivi karibuni msanii wa Bongo Fleva na memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’, kuutema mjengo wa kifahari aliokuwa akiishi na mumewe maeneo ya Mbezi…

Esma, Queen Darleen Kama Zamani

DAR: Zile taarifa zilizosambaa hivi karibuni mitandoani kuwa ndugu wawili wanaounganishwa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Esma Khan na Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’, hawaivi chungu kimoja, hatimaye zimeisha.…

Miguu ya Queen Darleen Gumzo

Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni dada wa staa wa muziki nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ hivi karibuni alizua gumzo baada ya kuweka picha ya miguu yake kwenye mtandao wa Instagram. …

Darleen Siyo Mke wa Kuachika

FIRST lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ambaye juzikati alifunga pingu za maisha na mfanyabiashara Isihaka Mtoro, amesema baadhi ya watu wanadhani hataiweza ndoa, lakini anawaapia kuwa yeye si…