The House of Favourite Newspapers

Kocha Yanga Amtaja Mshery

KOCHA mpya wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov amefunguka kuwa usajili wa kipa, Aboutwalib Mshery ni usajili bora kufanywa na klabu hiyo kutokana na ubora wake, Kocha huyo ameweka wazi kuwa ameanza na suala la kuhakikisha makipa…

Wana-CCM Tisa Wajitosa Uspika

Wanachama tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu za kuwania nafasi ya uspika wa Bunge kupitia chama hicho, kumrithi Job Ndugai aliyejiuzulu wiki iliyopita. Akizungumza jana kwa niaba ya Katibu wa Itikadi na…

Rasmi: Mshery Mali ya Wananchi

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi golikipa wao mpya, Aboutwalib Hamidu Mshery ambaye amesajiliwa katika dirisha hili dogo la usajili akitokea Mtibwa Sugar. Utambulisho huo umefanyika leo Jumatano, Desemba 29, 2021 ambapo…

MPENZI WANGU SARAFINA-07

“Nesi….nesi fungua mlango!” alisikika mwanaume mmoja akipiga kelele, saa ilionyesha ni saa saba usiku. “Kuna nini jamani?” “Huyu dada! Analalamika tumbo! Nadhani anataka kujifungua,” alisema jamaa huyo aliyekuwa na wenzake wawili.…