The House of Favourite Newspapers

SGA Yapata Tuzo Kwa Kutoa Huduma Bora

Kampuni ya Ulinzi ya SGA imepokea tuzo ya Huduma Bora wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo kwa huduma bora katika ulinzi binafsi kwa mwaka 2024 jijini Dar es Salaam. Katika tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Mkataba wa Usimamizi…