The House of Favourite Newspapers

EWURA Yatangaza Bei Mpya ya Mafuta

EWURA imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli yaliyopita Bandari Dar ambapo yamepanda kwa TZS 12/lita,badala ya TZS 145/lita ambayo ilitakiwa kutozwa Oktoba 6,2021.Punguzo la TZS 133 limetokana na serikali kupunguza tozo 8 kwenye mafuta.…

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa  bei za mafuta kutokana na kubadilika kwa bei katika Soko la Dunia na gharama za uagizaji. Mabadiliko ya bei hizo yanaanza kutumika kuanzia leo Sept Mosi,…

EWURA Yasitisha Bei za Gesi Kupanda

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imesitisha upandaji wa bei za gesi za kupikia zilizopanda maradufu katika baadhi ya maeneo nchini hadi hapo itakapotangazwa tena kutokana na upandaji wa bei hizo kutofuata taratibu.…

EWURA Yatangaza Kushuka Bei za Mafuta

MAMLAKA ya Udhibiti huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta zinazoanza kutumika leo Jumatano Desemba 2, 2020. Kwa mujibu wa EWURA, bei ya lita moja ya mafuta ya petroli yaliyopokelewa kupitia…

NHC KUJENGA OFISI ZA EWURA DODOMA

Meneja wa Kanda wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Injinia Nyirabu Musira akimkabidhi  Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio mchoro wa jinsi jengo la Makao Makuu ya Ewura…

EWURA Yashusha Bei za Umeme

Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti. Kushuka huko kwa bei ya umeme ni kutokana na ombi la Shirika la Umeme Tanzania TANESCO…